- 1,449 viewsDuration: 2:55Serikali kuu na ile ya kaunti ya Nairobi zitashirikiana kutekeleza majukumu muhimu ili kuboresha huduma kwa wakazi wa jiji kuu. Kulingana na maelewano hayo kati ya gavana wa Nairobi Johnson Sakaja na rais William Ruto, majukumu hayo yanajumuisha ukusanyaji wa taka taka na ujenzi wa barabara miongoni mwa huduma zingineHUDUMA