Serikali kuu na zile za Kaunti kutumia akaunti moja chini ya hazina kuu

  • | KBC Video
    62 views

    Baraza la mawaziri limeidhinisha utumizi wa akaunti moja chini ya hazina kuu kwa serikali ya taifa na zile za kaunti katika hatua inayolenga kuimarisha usimamizi wa pesa za umma. Mfumo huo mpya unatarajiwa kudhibiti matumizi ya pesa na kupunguza kuwepo kwa akaunti nyingi za serikali katika benki za kibiashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive