Serikali kuwekeza shilingi bilioni-1 katika miradi ya maendeleo Siaya

  • | KBC Video
    51 views

    Rais William Ruto amesema serikali itawekeza shilingi bilioni moja kwenye miradi ya maendeleo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa kaunti ya Siaya na eneo zima la Nyanza ;Rais Ruto alisema haya alipokutana na viongozi na wanabiashara kutoka kaunti ya Siaya wakiongozwa na gavana James Orengo katika ikulu ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive