Serikali kuzindua vitambulisho dijitali Septemba 29 mwaka huu

  • | Citizen TV
    1,377 views

    Serikali inatazamiwa kuzindua usajili wa vitambulisho vipya vya kidijitali ili kuondoa vitambulisho vinavyotumika sasa. Kitambulisho hiki kipya kitafahamika kama Maisha Card.