- 271 viewsDuration: 7:00Serikali ya Kaunti ya Kajiado Kwa ushirikiano na mashirika ya Kibiashara humu nchini imeaanda maonyesha ya Kibiashara katika mji wa Kitengela. Maonyesho hayo ambayo itatoa nafasi Kwa wafanyibiashara wadogo, vijana na watu wenye ulemavu kuonyesha biashara zao. pia inalenga Kutoa mafunzo Kwa wafanyibiashara hao ya kupanua biashara zao na namna ya kupata pesa za Kuendeleza biashara hizo. Sasa tuungane na Robert Masai mubashara kutoka Kitengela Kwa Mengi zaidi.