- 289 viewsDuration: 1:53Makundi mbalimbali ya wakulima, wafugaji na wafanyabiashara katika Kaunti ya Kajiado yapokea jumla ya shilingi milioni arobaini na saba kupitia ushirikiano kati ya Serikali ya Kaunti ya Kajiado na mradi wa ukuzaji wa kilimo nchini.