Serikali ya kaunti ya Kilif yazindua korti za sheria za kaunti

  • | Citizen TV
    112 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imezindua korti ya kushughulikia wanaovunja sheria za kaunti. Korti hiyo iliyoko katika jengo la mahakama ya Kilifi inatazamiwa kutatua kesi kwa haraka kinyume na hapo awali.Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa korti hiyo, Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro amesema kuwa itaongozwa na hakimu huku ikianza shughuli zake mara moja.

    Aidha mung'aro amedokeza kuwa serikali yake itatenga shilingi milioni 50 za ujenzi wa korti eneo la Mtwapa ambapo itakua ikiendesha kesi kupitia mtandao.