9 Apr 2026 1:35 pm | Citizen TV 136 views Duration: 1:40 Serikali ya kaunti ya Kirinyaga imezindua mpango wa kuwasajili mifugo kidigitali na kutoa chanjo ya ugonjwa wa miguu na midomo kwa ruzuku.