Serikali ya Kaunti ya Kwale yaanzisha mafunzo kuhusu miradi

  • | Citizen TV
    63 views

    Serikali ya Kaunti ya Kwale imeanzisha mafunzo kwa kamati za usimamizi wa miradi ya maendeleo nyanjani ili kuwawezesha na ufahamu wa kukagua miradi inayotekelezwa katika maeneo yao