21 Jul 2026 1:14 pm | Citizen TV 235 views Duration: 1:53 Serikali ya Kaunti ya Kwale imejitosa rasmi katika mapambano ya kisheria ya wakazi wa Mteza Mbuguni, Kaunti ndogo ya Matuga, wanaopinga utoaji wa zaidi ya hatimiliki elfu nne za ardhi wanazodai zilitolewa kinyume cha sheria.