#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
đź”´ LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Huku familia nyingi katika maeneo ya Kaunti ya Makueni zikikabiliwa na uhaba wa chakula kufuatia mvua ya vuli kukosa kunyesha, serikali ya kaunti hiyo imeingilia kati kusaidia elimu ya watoto kwa kuzindua mpango wa chakula shuleni kwa wanafunzi wa ECDE.
Mpango huo unatekelezwa katika Wadi ya Kee, eneo bunge la Kaiti, na unalenga kuhamasisha mahudhurio ya shule, kuboresha lishe ya watoto na kuinua matokeo ya masomo kwa mamia ya wanafunzi wachanga katika eneo hilo.
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews