Serikali ya kaunti ya Mandera imetoa shilingi 460m kufadhili elimu ya zaidi ya wanafunzi 37,000

  • | KBC Video
    19 views

    Serikali ya kaunti ya Mandera imetoa shilingi milioni 460 kufadhili elimu ya zaidi ya wanafunzi elfu 37 walioko katika shule zote za upili za umma katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News