Serikali ya kaunti ya Migori yashirikiana na mashirika ya kimataifa katika uzalishaji wa chakula

  • | Citizen TV
    136 views

    Serikali ya kaunti ya Migori imeshirikiana na serikali ya kitaifa, Shirika la Chakula na Kilimo na Hazina ya Kimataifa ya Maendeleo ya Kilimo kuimarisha mfumo wa chakula katika kaunti hiyo.