Serikali ya Kaunti ya Nairobi yapania kuondoa wakaazi wa Woodley

  • | Citizen TV
    114 views

    Serikali ya Kaunti ya Jiji la Nairobi inakabiliwa na madai mapya ya kufurusha wakaazi kinyume cha sheria katika mtaa wa Woodley, huku Gavana Sakaja na maafisa wa ngazi za juu wakituhumiwa kuhusika katika mpango unaodaiwa kuhusisha wahuni wa kukodiwa na ugawaji wa nyumba kwa njia ya udanganyifu