- 80 viewsDuration: 3:17Serikali ya kaunti ya Turkana imesambaza maboti na nyavu kwa makundi ya wavuvi katika ziwa Turkana, ili kuwawezesha wakazi kuvua samaki zaidi ndani ya ziwa hilo. Hatua hiyo imeafikiwa ili kupunguza makali ya ukame, na kuimarisha mapato na utoshelevu wa chakula. Maboti hayo pia yatatumiwa kwa juhudi za kuwaokoa wavuvi wanapozama ziwani