- 25,394 viewsDuration: 1:56Serikali ya Kenya imekanusha vikali madai kwamba mfanyabiashara mwenye utata wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, amepewa zabuni au kuhusika katika mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). #bbcswahili #kenya #wicknellchivayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw