- 349 viewsDuration: 2:55Serikali ya makueni kwa ushirikiano na serikali kuu imeanzisha zoezi la utoaji huduma za serikali katika maeneo ya nyanjani almaarufu huduma mashinani, zoezi hilo likilenga kuwafikia zaidi ya watu elfu hamsini kwenye kaunti hiyo na hususan vijana ambao wanakabiliwa na changamoto ya kufikia huduma za serikali.