15 Jul 2026 10:38 am | Citizen TV 280 views Duration: 2:52 Serikali ya kaunti ya Taita Taveta iko katika harakati za kuunda sera ya utalii ya mwaka 2026 ili kuimarisha vivutio vya utalii hasa vilivyoko mashinani.