18 Oct 2025 7:58 pm | Citizen TV 14,436 views Duration: 1:09 Serikali ya Tanzania imemzuia makamu mwenyekiti wa chama cha Chadema, mheshimiwa John Wegesa Heche kusafiri nchini Kenya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga.