Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya TZ yadai machafuko ya uchaguzi yalichochewa kutoka nje, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    73,817 views
    Duration: 28:10
    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa machafuko yaliyoshuhudiwa nchini humo wakati wa uchaguzi mkuu, yalichochewa kutoka nje. Akiongea hii leo jijini Dar es Salaam, Nchemba amesema kuwa waliopanga machafuko hayo wana dhamira ya kupora rasilimali za taifa hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw