Serikali yaazimia kuhifadhi takwimu za Wakenya wote ili kuimarisha utoaji huduma

  • | KBC Video
    46 views

    Serikali imejitolea kuhifadhi takwimu za wananchi wote ili kuimarisha utoaji huduma. Rais William Ruto alisema kuwa uongozi bora wa utumishi wa umma unahitaji takwimu sahihi kuhusu wananchi. Akiongea kwenye kongamano la saba kuhusu usajili wa watu barani Afrika lililoandaliwa jijini Nairobi, rais alisema kuwa serikali inatekeleza juhudi za utekelezaji wa mfumo muhimu wa takwimu utakaotimiza mahitaji ya enzi mpya ya dijitali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini