- 135 viewsDuration: 2:11Mito kwa serikali ya kupiga jeki afya ya mdomo ilisheheni wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa jijini Nairobi. Wadau wa sekta ya afya waliitaka serikali kuweka kanuni za kuimarisha huduma za mdomo katika vituo vya afya kote nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive