Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaimarisha juhudi za kuzuia mihadarati shuleni

  • | KBC Video
    176 views
    Duration: 3:50
    Serikali imeimarisha juhudi za kuzuia dawa za kulevya shuleni huku maafisa wa utawala wa serikali ya kitaifa sasa wakishiriki katika mchakato wa kukagua wanafunzi wa gredi ya 10 wanaoripoti shuleni. Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa kushughulikia dharura unaotekelezwa na wizara ya usalama wa taifa kwa ushirikiano na ile ya elimu ambao unanuiwa kuimarisha vita dhidi ya mihadarati miongoni mwa vijana nchini. Wazazi wamekumbatia mpango huo wakisema ni hatua inayostahili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive