Serikali yaimarisha shughuli ya utoaji wa pasipoti

  • | TV 47
    14 views

    Wizara ya usalama wa ndani kupitia kwa idara ya uhamiaji imeondoa mrundiko wa pasipoti uliokuwa umefikia zaidi ya elfu mia moja ishirini kufuatia kuharibika kwa mashine mbili za uchapishaji. Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki akizuru afisi za idara hiyo katika jumba la nyayo amesema idara hiyo ina jumla ya passpoti elfu themanini na saba ambazo wanapania kuzisambaza kwa wakenya katika kipindi cha mwezi mmoja kuanzia jumatatu ijayo.__

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __