Serikali yajenga madarasa 15,000 na maabara 1,600 kusaidia elimu ya sayansi

  • | NTV Video
    79 views

    Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, serikali imejenga madarasa 15,000 ya gredi ya 9 kote nchini, madarasa 7,000 ya ziada na maabara 1600 yanatarajiwa kujengwa ili kuhakikisha kuwa shule zote za sekondari nchini zinakuwa na maabara ya kuwapa wanafunzi wanaoendelea na masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati kama njia ya kuwapa nafasi sawa katika shule za sekondari.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya