Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaongeza muda wa ushuru wa mafuta, yatenga Sh900 milioni za ruzuku

  • | Citizen TV
    1,830 views
    Duration: 3:26
    Serikali imetangaza kuongezwa kwa muda wa utekelezwa kwa nyongeza ya ushuru wa asilimia 8 kwa bidhaa za mafuta ya petroli hadi Okotoba mwaka huu. Aidha, serikali pia imetangaza mipango ya kutoa ruzuku ya ziada ya zaidi ya shillingi millioni 900 ili kuendelea kudumisha bei ya sasa ya mafuta. Hatua hizi kulingana na waziri wa kawi na petroli Opiyo Wandayi zinalenga kuwalinda wakenya dhidi ya mabadiliko ya soko la mafuta kimataifa. Tangazo hili linajiri saa chache tu kabla ya Mamlaka ya Epra kutangaza bei mpya za mafuta mwezi huu,