- 1,807 viewsDuration: 2:30Kenya sasa inakabiliwa na hatari ya kupanda kwa bei za mafuta, huku mgogoro unaoendelea mashariki ya Kati ukianza kuathiri bei nchini. Serikali sasa ikionya kuwa kufikia katikati ya mwezi Aprili, bei za mafuta huenda zikapanda, ila waziri wa hazina kuu ya kitaifa amewahakikishia wakenya kuwa hakuna na kuhofia kwani wameweka mikakati kupunguza athari zake.