- 39 viewsDuration: 1:52Wizara ya Afya inanuia kuimarisha vita dhidi ya ugonjwa wa selimundu kwa kupanua upatikanaji wa huduma za uchunguzi, matibabu, na ufadhili huku nchi hii ikijitahidi kuboresha maisha ya maelfu ya wagonjwa wanaoishi na ugonjwa huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive