Serikali yashauriwa kuwawezesha vijana kumiliki ardhi ili waweze kujiajiri
Baadhi ya vijana wanaojihusisha na kilimo cha Kahawa nchini Tanzania wanasema bado wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa ardhi ya kulima jambo linalowakwamisha kushiriki kikamilifu katika sekta ya kahawa
wameyasema hayo katika mkutano wa tatu uliowakutanishi viongozi wan chi 25 wanaozalisha zao hilo barani Afrika kama anavyosema Peter Mzeya kijana Mkulima.
“Tungependa vijana wengi waingie kwenye uzalishaji wa kahawa, ingawa kuna changamoto kadhaa ambazo zinaweza kuwa juu ya uwezo wao. Serikali inapaswa kuziangalia, maana kabla hujaingia katika uzalishaji wa kahawa ni lazima umiliki ardhi. Hivyo, serikali iangalie ni jinsi gani vijana wanaweza kumiliki ardhi” amesema Mzeya
Mbali na changamoto ya ardhi vijana pia wanakabiliwa na vikwazo vya sera kanuni na mfumo wa fedha hali inayozuia ushiriki wao kikamilifu katika kuongeza thamani ya zao la kahawa.
Mkulima Mzeya alishiriki katika mkutano wa tatu uliowakutanishi viongozi wa nchi 25 wanaozalisha zao hilo barani Afrika kuanzia tarehe 21-22, Februari, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu umeandaliwa na serikali ya Tanzania.
Ripoti ya Amri Ramadhani, VOA, Tanzania.
#mkulima #kijana #mjasiriamali #kilimo #kahawa #tanzania #voa #voaswahili #umilikiwaardhi #ajira #petermzeya
11 Aug 2025
- Several banks experienced a decline in their performance, according to a report.
11 Aug 2025
- The tortoises grow up to 18cm.
11 Aug 2025
- Rice is one of the foods Kenyans consume in large quantities every year.
11 Aug 2025
- The Judiciary is now looking to make a closer and safer step into the future of technology with the latest unveiling of a framework that will guide the integration of Artificial Intelligence (AI) tools in enhancing operations at the Judiciary.
11 Aug 2025
- The High Court has temporarily stopped the government from implementing a Cabinet decision allowing the duty-free importation of 500,000 metric tonnes of rice.
11 Aug 2025
- Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has reiterated that Democracy for Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua must honor the order to record a statement over his remarks on terrorism while in the United States.
11 Aug 2025
- Treasury Cabinet Secretary John Mbadi intends to engage officials from the ministry of education over school capitation crisis.
11 Aug 2025
- A disturbing assault caught on video showing a businessman going by the name Pavilion physically attacking a female content creator, Bella Comedy, at the Kutiti Festival at Nairobi's Carnivore Gardens has triggered widespread outrage.
11 Aug 2025
- Several banks experienced a decline in their performance, according to a report.
11 Aug 2025
- The tortoises grow up to 18cm.
11 Aug 2025
- What respondents said in a survey.
11 Aug 2025
- Twice a week -- on Mondays and Fridays -- a dedicated team of 10 youth patrol a three-km stretch of Coco Beach, collecting up to 400 kg of waste.
11 Aug 2025
- Rice is one of the foods Kenyans consume in large quantities every year.