Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatakiwa kubuni sera ya dawa za mimea ya kiasili

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:27
    Serikali imehimizwa kukumbatia tiba asili kama njia mojawapo ya kusaidia kukabiliana na baadhi ya maradhi yanayotatiza taifa kama vile saratani. Washikadau wa tiba hiyo waliohudhuria kongamano la kwanza kujadili namna ya kulinda maarifa ya utumizi wa dawa za kiasili kaunti ya Muranga, wamesema kuna haja ya serikali kuweka sheria za kujumuisha tiba asili kwenye sheria za taifa.