Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatakiwa kuharakisha utayarishaji wa mswada wa kuwalinda wanaofichua makosa wa mwaka 2025

  • | KBC Video
    36 views
    Duration: 3:25
    Shirika la Transparency International, pamoja na mashirika mengine ya kijamii,yamehimiza serikali kuharakisha utayarishaji wa mswada wa kuwalinda wanaofichua makosa wa mwaka 2025,ili kuwalinda wanaochangia vita dhidi ya ukiukaji wa haki na maovo mengine kama vile ufisadi.Mashirika hayo pia yalisema wanaofichua habari kuhusu maswala ya ufisadi,wanahofia kudhulumiwa,hali ambayo imesababisha kutofaulu kwa kesi za ufisadi mahakamani kutokana na ukosefu wa mashahidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive