Serikali yatakiwa kutatua dhuluma za kihistoria za ardhi zinazokumba wazee wa Kwale

  • | Citizen TV
    62 views

    Baadhi ya wazee wanaodai kuhangaishwa na kudhulumiwa kwenye mashamba yao katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wanaitka serikali kutatua dhuluma za kihistoria za ardhi zinazokumba eoneo la Pwani. Wanasema rais William Ruto anafaa kulipa kipau mbele tatizo la mizozo ya ardhi atakapozuru kaunti ya Kwale kwenye maadhimisho ya sherehe za siku kuu ya Kitaifa ya Mashujaa.