Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatoa amri ya kutotoka nje usiku Trans Mara

  • | KBC Video
    133 views
    Duration: 3:35
    Serikali imetoa amri ya kutotoka nje usiku huko Transmara kufuatia ghasia ambazo zimesababisha yamkini vifo vya watu 7 na kulazimu mamia kuhama makwao. Amri hiyo itatekelezwa kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa kumi na mbili asubuhi huku maafisa wa usalama wakiwashauri walio na silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja kwa asasi husika katika kipindi cha saa 72. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive