Serikali yawaonya wanasiasa wanaochochea Uhasama kati ya jamii za Kipsigis na Kuria

  • | Citizen TV
    607 views

    Serikali imetoa onyo kali kwa kiongozi na wanasiasa wanaochochea uhasama kati ya jamii za Kipsigis na Kuria wanaoishi katika mpaka wa Narok na Migori.