7 Oct 2025 1:43 pm | Citizen TV 1,414 views Duration: 2:53 Serikali kupitia ushirikiano na benki ya dunia inaazimia kuwaimarisha kiuchumi maelfu ya vijana kote nchini kupitia mradi wa nyota. Vijana wanaolengwa zaidi ni wale waliohitimu masomo ya sekondari ila hawana ajira.