Serikali ikishirikiana na wadau wengine imekumbatia mbinu ya kuwawezesha vijana kwa kuwapa fursa za kujiimarisha kiuchumi ili kukabiliana na uhalifu ikiwemo uhuni nchini, Katibu Mkuu wa Usalama wa Taifa Raymond Omollo amesema kuwa kuna hatua ambazo tayari zimechukuliwa kupambana na wanaojihusisha na uhuni akiwahimiza wanasiasa kutowatumia vibaya vijana wasio na uwezo wa kujikimu kimaisha.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya