Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaweka vikwazo vya kifedha kwa wahusika 13 wa ugaidi

  • | Citizen TV
    3,832 views
    Duration: 1:58
    Serikali imewaorodhesha watu kumi na watatu kama wahusika wa ugaidi na wafadhili wa shughuli hizo. Watu hao sasa wamewekewa vikwazo vya kifedha vinavyozuia benki na taasisi nyingine yenye akaunti zao kufanya shughuli zozote za kifedha nao.