7 Oct 2025 1:27 pm | Citizen TV 111 views Duration: 1:52 Serikali imezindua awamu ya Kwanza ya mradi wa kihistoria wa maktaba katika Taasisi ya ufundi ya Wasioona ya Machakos (MTIB), ikiashiria hatua kuu kuelekea elimu-jumuishi kwa watu wenye ulemavu.