Serikali yazindua rasmi azma ya Raila kuwania uenyekiti wa tume ya AU

  • | KBC Video
    64 views

    Mataifa ya Afrika Mashariki yameungana kuunga mkono azma ya Raila Odinga kuwania uenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika,wadhifa ambao kwa sasa unashikiliwa na Mousa Faki Mahamat. Wakati wa halfa ya kumuidhinisha rasmi iliyoandaliwa ikulu ya Nairobi, rais William Ruto pamoja na viongozi wa mataifa mengine ya kanda ya Afrika Mashariki walimpongeza Raila, wakisema ana ufahamu wa kutosha kuhusu maswala kufanikisha maendeleo barani humu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive