Serikali yazindua vifaa vya uangalizi

  • | KBC Video
    32 views

    Katika hatua inayolenga kuimarisha utoaji hudumu kwa umma, serikali imezindua programu ya akili mnemba ya uangalizi ambayo ina uwezo wa kutathmini na kutoa mapendekezo kuhusu changamoto zinazokumba utekelezaji miradi. Katibu katika wizara ya usalama wa kitaifa Dk. Raymond Omollo amesema programu hiyo itaimarisha uadilifu na utekelezaji haraka wa miradi ya maendeleo inayozinduliwa na serikali kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive