Serikali za kaunti zilielekeza asilimia 47 ya matumizi yao yote kwa mishahara ,gharama ya mishahara ikiongezeka hadi shilling billion 220.64 kutoka shilling billion 209.84 katika kipindi cha kifedha cha mwaka 2023/2024. Kaunti 39 zilitumia zaidi ya asilimia 35 mgao wao kwa mishahara na marupurupu ya wafanyakazi,kaunti nane pekee zikiafiki kanuni hii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive