Skip to main content
Skip to main content

Shabana FC yarudi nafasi ya tatu ligi kuu baada ya kuifunga Tusker 1-0 uwanjani Gusii

  • | Citizen TV
    275 views
    Duration: 54s
    Shabana Fc imerudi tena kwenye nafasi ya tatu katika ligi kuu ya kandanda nchini kufuatia ushindi wa moja bila dhidi ya Tusker uwanjani Gusii