- 237 viewsDuration: 5:31Shabiki.com imekita kambi kaunti ya Kakamega Katika Kijiji cha Bushiri, kusherehekea ushindi Wa wa shilingi nusu milioni wa mkazi wa eneo hilo Dominic Lumumba kwenye shindano la Rubani challenge katika jukwaa maarufu la shabiki.com.