Shambulizi katika eneo la maduka Ukraine.

  • | BBC Swahili
    1,730 views
    Urusi imefanya shambulizi la kombora kwenye jengo la maduka katikati mwa mji wa Kremenchuk nchini Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema zaidi ya watu 1,000 walikuwa kwenye jengo hilo lilipigwa na kombora. Hadi sasa takriban watu kumi wametajwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa. #bbcswahili #urusi #ukraine