Shambulizi la bomu kata ya ndosho, Goma laua raia

  • | VOA Swahili
    74 views
    Video ikionyesha shambulizi la bomu imechukuliwa Ndosho kata moja inayo patikana katika Mji wa Goma mtaa wa Karisimbi ambapo mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja, Joyeuseux alishuhudia bomu likianguka kwa Jirani yake na kumuua mtu mmoja. Sikiliza maelezo yake kamili kuhusu shambulizi hilo na ujumbe wa mama huyu kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ripoti ya mwandishi wa VOA Austere Malivika, Goma, DRC. #drc #goma #kivukaskazini #waasi #m23 #mejajenerali #PeterCirimwami #voa #voaswahili #rais #felixtshisekedi