Shambulizi la bomu lililovurumishwa na waasi wa M23 laua watoto 2 na mama mmoja #

  • | VOA Swahili
    235 views
    Kanda ya video hii imepigwa katika Mji wa sake ambao mpaka sasa unashuhudia mashambulizi ya waasi wa M23. Kwa mujibu wa mwandishi wetu Austere Malivika ambaye alitembelea eneo hilo na kuwahoji wananchi kuhusu hali ya vita inayoendelea katika eneo hilo anaripoti Jumapili Watoto wa 2 na mama mmoja wameuwawa kwa bomu lililovurumishwa na waasi wa M23. Katika mahojiano na moja wa mkazi wa eneo hili la milimani anaeleza jinsi bomu lilivyoripuka baada ya kutua katika eneo lao kumjeruhi mtu moja. Wakati huo huo mapigano makali yanasikika yakiendelea kati ya majeshi la serikali ya DRC na waasi wa M23. Endelea kusikiliza... #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #milimayasake #austeremalivika