Shambulizi la Israel kwenye hospitali

  • | BBC Swahili
    1,672 views
    #bbcswahili #gaza #mlipuko Tazama Uchuguzi wa BBC dhidi ya shambulizi la anga la hospitali huko Gaza lilotekelezwa na Isreal. Wiki hii kumeendelea kuwa na mashambulizi makali katika maeneo mbalimbali Gaza na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100. Munira hussein anaeleza zaidi. @munie_noor #bbcswahili #gaza #mlipuko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw