- 3,055 viewsDuration: 1:08Mashindano makubwa zaidi ya michezo duniani, Kombe la Dunia la FIFA, yanaanza leo. Mwandishi wa BBC, Celestine Karoney, yuko nchini Marekani ambapo alitembelea jiji la Atlanta, moja ya miji mwenyeji wa mashindano hayo, kujionea hali ilivyo na kuona jinsi mashabiki wanavyojiandaa kwa tukio hilo kubwa. #bbcswahili #atlanta #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw