Skip to main content
Skip to main content

Shamra shamra zasheheni Uhuru Park, Nairobi, kuadhimisha Mashujaa Dei

  • | KBC Video
    150 views
    Duration: 4:07
    Baadhi ya wakazi wa jiji la Nairobi waliadhimisha siku kuu ya mashujaa kwa shamra shamra huku wakizuru maeneo ya burudani yaliyo jijini. Uwanja wa Uhuru Park ulikuwa na shughuli nyingi huku familia zikifika huko kuadhimisha siku hii kuu na miito ikitolewa kwa viongozi waige mfano wa marehemu Raila Odinga na kuiweka nchi hii mbele ya maslahi yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive