- 6,681 viewsDuration: 1:00Wakati wachezaji wakipambana ndani ya viwanja kusaka matokeo kwa timu zao nje ya viwanja kuna burudani kubwa ya mashabiki ikiendelea katika michuano ya Afcon huko Morroco. @loko_omi na @brianmala wametuandalia shamrashamra hizi - - #bbcswahili #soka #kandanda #afcon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw